.

๐Ÿ‘‰ Vidonge vya kuzuia mimba vinasababisha vidonda vya tumbo?๐Ÿ‘‡โœ”

Wanawake wengine wanapata vidonda vya tumbo, lakini haya hayana uhusiano na vidonge vya kuzuia mimba. Vyanzo vya vidonda vya tumbo mara nyingi ni maambukizi yatokanayo na msongo wa mawazo, kula vyakula vyenye mafuta mengi na viungo vingi, au kuwa na historia ya ugonjwa huu katika familia. Baadhi ya dawa huathiri tumbo kama vile asprini na ndiyo maana sio kila mtu anashauriwa kuzitumia. Vidonge vya kuzuia mimba havisababishi vidonda vya tumbo.

mtu.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] CHEKA-MHENGA-VITUKO

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] Utoto raha..!

utotoni.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif