Tafuta

Jinsi ya kutafuta ndugu zako mliopotezana Unaweza kuwatafuta kirahisi sana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Vidonge vya kuzuia mimba vinasababisha vidonda vya tumbo?👇✔

Wanawake wengine wanapata vidonda vya tumbo, lakini haya hayana uhusiano na vidonge vya kuzuia mimba. Vyanzo vya vidonda vya tumbo mara nyingi ni maambukizi yatokanayo na msongo wa mawazo, kula vyakula vyenye mafuta mengi na viungo vingi, au kuwa na historia ya ugonjwa huu katika familia. Baadhi ya dawa huathiri tumbo kama vile asprini na ndiyo maana sio kila mtu anashauriwa kuzitumia. Vidonge vya kuzuia mimba havisababishi vidonda vya tumbo.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Vidonge vya kuzuia mimba vinasababisha vidonda vya tumbo?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

ml.gif

.