uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba

uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba

uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba

Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubali
mwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwona
mhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupata
dawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekano
wa kupata matibabu ya kuzuia maambukizi yasitokee na kupata
ushauri na zaidi nini cha kufanya.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;