.

πŸ‘‰ utumiaji nguvu katika mahusiano ya ujinsia kama sehemu ya utamaduniπŸ‘‡βœ”

images-7.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 13 Feb 2016 13:39. [Legal & Authority]


utumiaji nguvu katika mahusiano ya ujinsia kama sehemu ya utamaduni

Utumiaji wa nguvu
katika mahusiano ya
ujinsia unavunja haki
za uzazi na haki za
binadamu. Uhusiano
wa ujinsia ni muhimu
uwe katika misingi ya
maelewano, kuheshimiana,
na Huwezi kunikataa
mapenzi kwa
kila mmoja wenu.
Katika baadhi ya
tamaduni , mwanamume
ndiye mwenye mamlaka
na anakubalika kwamba anaweza kutumia nguvu. Ingawaje utamaduni
unatakiwa kujenga na kutia moyo uhusiano mzuri katika jamii.
Utamaduni wetu hauna budi kuimarisha thamani ambayo
itaheshimu hadhi ya utu na usiruhusu utumiaji wa nguvu. Kila
jambo ambalo linavunja haki ya mtu na kumdhalilisha hadhi ya
utu haliwezi kukubalika na kupokelewa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (utumiaji nguvu katika mahusiano ya ujinsia kama sehemu ya utamaduni).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


msaada.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS