.

πŸ‘‰ Ushauri wa Imani ya dini kwa watu walio katika ndoa, wakati mmoja au wote wameambukizwa na HIVπŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_131010.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 30 Jan 2016 03:33. [Legal & Authority]


Ushauri wa Imani ya dini kwa watu walio katika ndoa, wakati mmoja au wote wameambukizwa na HIV

ο‚· Ombeni kwa pamoja kwa ajili ya hekima na ujasiri.
ο‚· Amueni kwa pamoja, kwa msaada wa Mungu, kuwa
waaminifu wenyewe kwa wenyewe.
ο‚· Ili kuzuia maambukizi ya HIV, unaweza kuamua
kutohusiana kingono, au daima tumia mipira ya kondomu
wakati unafanya ngono.
ο‚· Amueni kwa pamoja, kwa msaada wa Mungu, kuna na
mtoto mwingine. Mkiamua ndiyo, muongee kuhusu ni
lini mtafanya hivyo na jinsi ya kumweka mtoto bila HIV.
Mkiamua hapana, muongee kuhusu njia nzuri, salama za
kuwa na uhakika huna mimba.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ushauri wa Imani ya dini kwa watu walio katika ndoa, wakati mmoja au wote wameambukizwa na HIV).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


karibu-sn.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS