Upendo wa Yesu

By, Melkisedeck Shine.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Upendo wa Yesu

Hakuna mwenye upendo, kama wa mtu kuutoa uhai wake kwaajili ya rafiki zake.

Huo ndio upendo wa Yesu.


Endelea kusoma makala hizi zifuatazo;

a.gif Madhara ya soda

Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya… soma zaidi

a.gif Madhara ya kula yai bichi

Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu โ€œSALMONELLAโ€ vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.
Vijidudu ya โ€œSalmonellaโ€ vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kama wagonjwa wa UKIMWI… soma zaidi

a.gif Virusi vya kompyuta (computer virus)

Ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaa ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. Virusi zinasambaa kwa njia ya intaneti lakini pia kwa njia ya sidii au diski yoyote ya kubebea data kati ya kompyuta. Virusi vinaweza kuharibu mafaili na kupunguza uwezo wa ufanyaji kazi wa kompyuta… soma zaidi

[Msemo wa Leo] ๐Ÿ‘‰Kujithamanisha

[Jarida la Bure] ๐Ÿ‘‰Jarida la kilimo bora cha bamia

[Hadithi Nzuri] ๐Ÿ‘‰Huruma ya mama kwa mwanae ilivyomtesa

a.gif Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako

#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*.. soma zaidi

a.gif Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?

Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara… soma zaidi

a.gif Watu wafanye nini iwapo wamelazimishwa kufunga ndoa na mtu wasiyemtaka?

Iwapo mtu amelazimishwa
kuingia katika hali ya ndoa
(kuoa/kuolewa) na msichana/
mvulana ambaye hampendi,
hatua ya kwanza ni kukataa
ndoa hiyo na kuonyesha wazi
wazi. Jadiliana suala hili na
wazazi wako. Waeleze kwa
heshima kwa nini hukubaliani
na ndoa hiyo… soma zaidi

a.gif Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nazi Wa Nyanya Chungu/Mshumaa/Ngogwe Na Bamia, Mboga Ya Matembele Na Samaki Wa Kukaanga

Unga wa mahindi - 4.. soma zaidi

a.gif Ushauri wa Imani ya dini kwa watu walio katika ndoa, wakati mmoja au wote wameambukizwa na HIV

๏‚ท Ombeni kwa pamoja kwa ajili ya hekima na ujasiri.
๏‚ท Amueni kwa pamoja, kwa msaada wa Mungu, kuwa
waaminifu wenyewe kwa wenyewe… soma zaidi

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
nn.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.