Upangaji Uzazi husaidia kuzuia maambukizo ya HIV kati ya wanawake na wanaume

vichekesho-bomba-vya-siku.png

Upangaji Uzazi husaidia kuzuia maambukizo ya HIV kati ya wanawake na wanaume

Kwa muda, watafiti wamejua kwamba ujauzito huongeza hatari ya
mwanamke kuambukizwa HIV. Sababu ni mbili – yeye hutuliza desturi
yake ya ngono salama ili aweze kupata mimba, na mfumo wake wa kinga
hupungua ili kuweza kustahimili kijusi kipya. Utafiti wa maajuzi umepata
kwamba wanaume wako pia katika hatari ya juu ya kupata HIV wakati
wenza wao wanapokuwa wajawazito

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Upangaji Uzazi husaidia kuzuia maambukizo ya HIV kati ya wanawake na wanaume. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
picha-kali.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

afya-mapishi-na-lishe.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png