UMUHIMU WA BAADHI YA MATUNDA KWA MWILI WA BINADAMU

afya-mapishi-na-lishe.png

UMUHIMU WA BAADHI YA MATUNDA KWA MWILI WA BINADAMU

UMUHIMU WA APPLE (Tufaha)

• Dawa nzuri ya ugonjwa wa moyo
• Hushusha kolestro
• Hushusha shinikizo la damu
• Huimarisha kiwango cha sukari katika damu
• Huongeza hamu ya kula
• Linakemikali yenye uwezo wa kuzuia saratani
• Juisi yake inaua virusi vinavyoambukiza magonjwa

UMUHIMU WA BANANA (NDIZI MBIVU)

• Huzuia na kutibu vidonda vya tumbo
• Hushusha kolestrol katika damu

UMUHIMU WA BEANS (MAHARAGE YA AINA ZOTE)

• Hupunguza aina mbaya ya mafuta mwilini
• Hudhibiti kemikali mbaya za saratani
• Hudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
• Hushusha shinikizo la damu
• Hurekebisha mwenendo wa utumbo mkubwa
• Huzuia na kutibu ukosefu wa choo
• Huzuia kutokwa damu kwenye haja kubwa (haemorrhoids) na matatizo mengine ya tumbo

UMUHIMU WA CABBAGE (KABICHI)

• Hupunguza hatari ya kupata saratani, hasa ya utumbo
• Huzuia na kutibu vidonda vya tumbo (hasa juisi yake)
• Huchangamsha mfumo wa kinga ya mwili
• Huua bakteria na virusi mwilini
• Huharakisha ukuaji wa mwili

UMUHIMU WA CARROT (KAROTI)

• Inaaminika kuzuia saratani, hasa zitokanazo na uvutaji sigara, ikiwemo saratani ya mapafu.
• Hushusha kolestro katika damu
• Huzuia ukosefu wa choo (Constipation)

UMUHIMU WA COFFEE (KAHAWA)

• Kahawa si kinywaji cha mtu kupendasana kutumia, lakini kinapotumiwa kwa kiasi kidogo na kwa tahadhari, kina faida zake:
• Huboresha utendaji kazi wa ubongo
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa asma (asthma)
• Hutoa ahueni kwa wenye homa
• Huongeza nishati ya mwili
• Huzuia meno kuoza
• Ina kemikali ambayo huzuia saratani kwa wanyama
• Hutoa uchangamfu

UMUHIMU WA CORN (NAFAKA- MAHINDI, MCHELE, N.K)

• Zina aina fulani ya kemikali ambazo huzuia saratani
• Hupunguza hatari ya kupatwa na aina fulani za saratani, magonjwa ya moyo na kuoza kwa meno
• Mafuta yake hushusha kolestro mbaya mwilini

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, UMUHIMU WA BAADHI YA MATUNDA KWA MWILI WA BINADAMU. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
picha-kali.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png
afya-mapishi-na-lishe.png