Umri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya wali wa mboga, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Umri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Umri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango

By, Melkisedeck Shine.

Muda unaofaa kutumia njia ya kupanga uzazi ni wakati unapojamiiana kwa mara ya kwanza. Huu ni wakati mzuri wa kutumia kondomu, kwa sababu kondomu inazuia kupata mimba isiyotarajiwa pamoja na magonjwa ya zinaa.
Huu pia ni muda mzuri wa kwenda kliniki ili kupata ufafanuzi kuhusu njia mbalimbali za kuzuia mimba. Daktari au muuguzi anaweza kuwasaidia mwanaume na mwanamke kuamua njia inayofaa kwa hali yao.
Mara nyingi, watu wanafikiri kwamba huduma ya uzazi wa mpango ni kwa wanawake ambao wameshaolewa, kwa mama wajawazito au wanawake waliozaa tu. Lakini si kweli. Hapa Tanzania, kisheria kila mtu aliyebalehe, iwe mvulana au msichana ana haki ya kupata huduma ya uzazi wa mpango.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Umri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

SALAMU-USIKU-23ND.JPG
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG