1. Je, ualbino unaambukiza? ……….. Hapana
  2. Ualbino ni ugonjwa? ………..Hapana
  3. Ualbino ni laana? ………..Hapana
  4. Ualbino ni kitu cha kawaida? ………..Hapana
  5. Ualbino unawapata tu watu weusi?……….. Hapana
  6. Watu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?……….. Hapana
  7. Albino ni watu wenye imani za ushirikina? ………..Hapana
  8. Albino wana nguvu za giza? ………..Hapana
  9. Je, Albino hawana akili? ………..Hapana
  10. Je, ni kosa la mwanamke anayezaa mtoto Albino? ………..Hapana
  11. Je, jamii ibadili mtazamo hasi iliyo nao kuhusu Albino?……….. NDIYO

kj.gif

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ukweli kuhusu albino).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Makala nzuri kwa sasaπŸ‘‡

A

Slide2-utotoni.GIF