Tafuta

👉 Ualbino husababishwa na nini?👇✔

Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo
wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele na macho. Rangi hii
huitwa “melanini”. Rangi ya ngozi itategemeana na kiasi cha
melanini kilichopo. Hali ya kuzalisha melanini imekaa katika
vinasaba vyetu. Kama vinasaba vya kutoa melanini havipo au
vimebadilishwa madhara yake ni ukosefu au upungufu wa rangi.
Kwa hiyo hali ya ualbino ni ya kurithi. Inaweza kurithishwa
kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ualbino husababishwa na nini?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Tafuta ndugu zako hapa Utawapata kirahisi zaidi

👉SOMA ZAIDI HAPA...

tafuta-ndugu.gif

.