.

👉 Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa👇✔

IMG_20180125_211450.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 14 Feb 2016 04:38. [Legal & Authority]


Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa

Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa ya
Bunge, iliyopitishwa mwaka 1971. Sheria hii inakataza ndoa za
kulazimisha. Inatambua ndoa kama ni muungano kati ya mume
na mke ambao kwa hiari yao wameamua kuishi kama mume na
mke. Sheria hiyo inasema kwamba iwapo ndoa haikuwa ya hiari,
basi hiyo siyo ndoa. Sheria pia imefafanua utoaji wa adhabu
kwa watu wote wanaoshawishi au wanaolazimisha pande hizo
mbili kuingia katika ndoa bila hiari yao. Kwa hiyo mwathiriwa wa
ndoa ya kulazimishwa anatakiwa kutoa taarifa juu ya wale wote
waliomlazimisha katika ndoa kwa polisi ambaye atawashitaki
kwa kuwa hili ni kosa la jinai.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Nini maoni yako kuhusu, Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180125_210009.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa."

Slide3-mliopoteana.GIF

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS