Tafuta

Mtafute ndugu yako mliopotezana Yupo hapa anakutafuta wewe

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ SABABU/ FAIDA 40 ZA KUFUNGA KWA MTU BINAFSI.πŸ‘‡βœ”

SABABU/ FAIDA 40 ZA KUFUNGA KWA MTU BINAFSI.
Hapa chini tunakwenda kuorodhesha faida arobaini na moja (4I) za kufunga.Isaya 58 inafaida 20 kama ifuatavyo.
a) Isaya 58:8-9

1. Nuru yako itapambazuka.Sisi ni nuru ya ulimwengu Mathayo 4:14 utahitajisehemu mbalimbali kuhudumu.
2. Afya yako itatokea mala.- Uponyaji.
3. Haki yako itakutangulia (Baraka).
4. Utukufu wa Bwana utakufata nyuma ukulinde – (Ulinzi)
5. Ndipo utaita na Bwana ataitika – (Answered prayer)
6. Utalia naye atasema mimi hapa.
b) Isaya 58:11-12.
7. Ndipo nuru yako itakapopambazuka gizani. (utajulikana)
8. Kiwi chako kitakuwa kama adhuhuri (Utatambulikana).Utapata Kibari
9. Nae Bwana atakuongoza daima. (Continue guidance).Utaongozwa na Bwana
10. Ataishibisha nafsi yako mahali pasipokuwa na maji.(Kama ilikuwa unakauka kiroho chako)
11. Kuitia nguvu mifupa yako. Kama miguu yako imechoka)
12. Utakuwa kama Bustani iliyotiwamaji na chemichemi ambayo maji yake hayapungui. (Upako na Baraka havitapungua).
13. Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa. (Mungu atakuinulia watu ili wafanye pale penye uhitaji)
14. Utaiinua misingi ya vizazi vingi – utakuwa ni msaada wa kiroho/kimwili kwa watu wengi.
15. Utaitwa mwenye kutengeneza mahali palipo bomoka.(Roho njema ya upatanisho).
16. Mwenye kurejeza njia za kukalia.
C) Isaya 58:13-14.
17. Utajifurahisha katika Bwana.High persivealence.Uvumilivu wako unakuwa mkubwa katika mapito.
18. Bwana atakupandisha mahara pa nchi palipo inuka – (Promotion ya Kiroho).Huwezi kusukumwa kuomba
19. Bwana atakulisha urithi wa Yakobo- (Kuwa mtumishi wa Mungu kweli kweli).Baraka za mwilini.
20. Isaya 58:4 (Uwezo wa kuisikizisha sauti yako juu).Ufahamu wako wa mambo ya kiroho unakuwa juu sana.
Faida zingine 21 ziko katika mafungu Matatu.
a) Funga za kuwajibika (kujitoa)/Commitments fasts – ziko saba.

Tafuta%20marafiki

21.Kuamua mpaka utimize malengo furani,Mwanzo 24:33.Mtumishi wa Ibrahim alikataa kula mpaka awasilishe ujumbe.
22.Kutiwa nguvu za kiroho katika kuabudu na kusifu. – Matendo 13:2.
23.Kuthibitisha/Kutimiza Kiapo.1king 13:14-24.(Mtu wa Mungu na nabii mzee na nabii wa Mungu aliyeambiwa na Mungu asile chakula,asinywe maji na asirudi njia ile aliyojia.Acts 23:12-21 – Wayahudi walifanya mapatano kwamba wasile wala kunywa mpaka mpaka wamuue Paulo.
24:Unyenyekevu.Ezra 8:21, 1kol.9:27, Luka14:11,18:14;Math 23:12,1Petro5:6
25.KUOMBOLEZA KWA AJIRI YA DHAMBI.Ezra 9:5,10:1,6.Ezra na Nehemia wakaomboleza kwa sababu ya makosa ya watu wa uhamisho
26.KUJITAYARISHA KWA AJIRI YA SIKU YA BWANA.(ROHO MTAKATIFU) Yoeli2:12;Kusanyiko la maombi kabla ya Pentecoste (Act 1:14).
27.KUWASAIDIA NDUGU WADHAIFU.Rumi 14:16-22,1kor.8:13 Kuacha kula Nyama au kitu furani ili tusiwakwaze wengine.Nikakumbuka habari ya waislam.
B: FUNGA ZA MAHITAJI ZIKO 7.
28. KUPOKEA UFAHAMU NA MAFUNUO.Acts 9:9-12,Luka 2:36-38 na Luka 2:25-34.
29: TOBA KWA AJIRI YA MSAMAHA.-Nehemia Hesabu 29:7;Walawi:23:27-36 na 16:29-31.
30: KUGEUZA KUSHINDWA KUWA KUSHINDA.Waamuzi:20:17-35.
Waisraeli makabila 11 alivyojipanga kupigana na kabila moja la benjamini wakapigwa.mala ya tatu walifunga na kuomba wakashinda.

Tafuta%20marafiki

31. ULINZI WAKATI WA MATATIZO MAKUBWA.Ezra 8:21-23 na Esta 4:16.
32. KUTIWA NGUVU.Nehemia 1:3-4;9:1 jibu likapatikana na mkataba ukasainiwa.9:38
33. Nguvu za kiroho zisizo za kawaida.(Supernatural strengths).
-Kumb.9:9,1falme 19:8 Luka 4:1
34. UPONYAJI WA MWILI NA ROHO.1samuel1:1-7 Utasa ulikoma.
C: FUNGA ZA UPENYO (Breakthrough fasts)
35. KUEPUSHA MAPIGO YA MUNGU.Kumb.9:18-21 – Musa na Ndama ya ng,ombe.(Unaweza kusoma Kutoka 32:1-14).
36.KUOMBA MUNGU AINGILIE TATIZO LILILOKO.
Nyakati 20:3,1samweli.7:6 (Ili waokolewe katika mikono ya wafirist walikuwa mabaali).
37.KUGEUZA UELEKEO WA UAMUZI WA MUNGU.Kunawakati maalum tukiwa katika utakatifu sana ambapo Mungu huweza kugaili gadhabu yake.kutoka 32:14;Yona 3:5.
38.KUTAFUTA UWEPO WA MUNGU.(Kujenga kiu ya mungu).Zaburi42:1-3,John 7:37-39
39.KUCHAGUA WAZEE WA KANISA. Act 14:23
40. KUTUMA WAMISHENARI.Act 13:2-3 katika kufunga maono yakapatikana ili ndugu hawa watumwe kama wamishenari.Zekaria 8:18-23 wakawa waijirist wa Dunia nzima

Tafuta%20marafiki

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (SABABU/ FAIDA 40 ZA KUFUNGA KWA MTU BINAFSI.).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

tafuta-rafiki.gif

.