NJIA ZA KUONDOA KITAMBI

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kutengeneza saladi, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

NJIA ZA KUONDOA KITAMBI.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

NJIA ZA KUONDOA KITAMBI

By, Melkisedeck Shine.

NJIA ZA KUONDOA KITAMBI:

Mlo mzuri kiafya ndio ufunguo wa kupunguza uzito na kutoa kitambi. Kuacha kula vyakula vinavyotia nguvu sana, vyenye mafuta na sukari nyingi ndio msingi wa kuondoa kitambi. Hii husaidia mwili kutumia mafuta yaliyo mwilini kutengeneza nguvu hivyo kupunguza mafuta na kuondoa kitambi. Aidha, punguza matumizi ya vinywaji vyenye sukari kwa wingi na tumia samaki badala ya nyama.
Kufanya mazoezi ya mwili kila siku kwa dakika 30-60 walau siku 3 ndani ya juma (week) moja (Mfano kuendesha baiskeli na kukimbia).
Dawa ni muhimu tu kama una matatizo mengine kama kisukari, mfano dawa fulani za kisukari zinaweza kukusaidia kupunguza mafuta yanayozunguka ogani muhimu kama ini na kongosho.
Kufanya upasuaji mkubwa ili kupunguza mafuta, hii hufanyika kwenye nchi zenye teknolojia kubwa na hii hushauriwa endapo mafuta yaliyomwilini yamesababishwa na magonjwa yameshindwa kupungua kwa njia ya rahisi ya kawaida.
Imedhihirika pia kudhibiti 'Stress' inaweza kusaidia kwenye kupambana na kitambi.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; NJIA ZA KUONDOA KITAMBI, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

Slide3-mliopoteana.GIF
KADI-SALAMU-USIKU-MZAZI.JPG