Tafuta

Umerahisishiwa kutafuta mliopotezana Ni rahisi sana kutafuta wale uwapendao

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Njia nne za kuzuia maambukizi ya HIV katika watoto wachanga na wadogo👇✔

Njia nne za kuzuia maambukizi ya HIV katika watoto wachanga na wadogo

1. Zuia maambukizi ya HIV katika wanawake wanaoweza kupata
watoto.
2. Zuia ujauzito usiokusudiwa kati ya wanawake wanaoishi na HIV.
3. Zuia uambukizaji kutoka kwa wanawake wajawazito wanaoishi na
HIV kwa watoto wao.
4. Toa huduma na usaidizi kwa wanawake wanaoishi na HIV, watoto
wao na familia zao.

Inapendekezwa na WHo, orodha hii wakati mwingine inarejelewa kama
"nguzo nne" au "njia nne tondoti za PMTCT" (Rejeleo la 1).
Hata hivyo, katika mlongo uliyopita, FBO nyingi (na vyombo vingi vya
wafadhili) vimefanya juhudi na kutumia fedha nyingi kwa Kipengee cha 3 -
kwa hivyo kuwasaidia wanawake walioambukizwa na HIV ambao tayari
walikuwa wajawazito kuepuka kuwaambukiza watoto wao. Ijapokuwa,
wengi kati ya wanawake hao wajawazito, hawakuwa wamejipanga au
kutaka kuwa wajawazito wakati huo - kwa maneno mengine, walikuwa na
"ujauzito usiokusudiwa".
Kwa hivyo, Jopo la Wataalamu nchini Marekani hivi maajuzi walisisitiza
Bunge la Marekani na Mratibu wa Duniani wa Ukimwi kutekeleza nguzi
zote nne. Jopo liliandika, ‘Kuzuia ujauzito usiokusudiwa kati ya wanawake
wanaoishi na HIV kunaweza kupunguza pakubwa idadi ya watoto
wanaoambukizwa HIV”

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Njia nne za kuzuia maambukizi ya HIV katika watoto wachanga na wadogo).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Unaweza kuonana na watu mliopotezana hapa Bado wapo na wanakutafuta sana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

Slide1-mabest-skull.PNG

.