Nitajitambua vipi kama nimeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?

picha-kali.png

Nitajitambua vipi kama nimeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?

Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo ya
VVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test). Vipimo hivi
vinapatikana katika vituo vya afya na pia kupitia vituo maalumu
vya ushauri nasaha vya kupima kama vile vya Angaza, huduma
hizi zimesambaa nchi nzima. Kipimo hiki huchukua kiasi kidogo
cha damu na kawaida majibu hupatikana baada ya muda mfupi.
Mshauri nasaha ataongea na wewe na kukuelimisha zaidi kuhusu
kipimo na maana ya majibu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Nitajitambua vipi kama nimeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
picha-kali.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

picha-kali.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png