.

πŸ‘‰ Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?πŸ‘‡βœ”

images-22.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 11 Mar 2015 15:57. [Legal & Authority]


Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?

Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa na
maana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.
Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze rafiki zako kile unachokijua na nini unachofanya. Hivyo utapata heshima kutoka kwa wanarika wenzako na rafiki zako. Kama vijana wenzako watakushawishi utumie dawa za kulevya wakati wewe hutaki, wanaweza kuwa marafiki wabaya. Kumbuka kwamba rafiki ni mtu ambaye anajali, analinda na kuthamini maisha ya rafiki yake. Kwa maana hiyo, kwa nini mtu anayekushawishi kwa makusudi kufanya kitu chenye madhara kwa afya yako awe rafiki wa kweli?!

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20170703_130936.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kujaribu kufanya jambo kubwa la kipekee ni kushinda hata kama halijafanikiwa."

karibu-sn.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS