Tafuta

.

Kuna ndugu yako anayekutafuta hapa Umepotezana naye siku nyingi.

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Nini maana ya Ualbino?👇✔

Albino wana ngozi nyeupe, nywele nyeupe au nyekundu na macho
ya kijivu au ya bluu. Ngozi yao ni nyeupe zaidi kuliko ndugu zao
wa familia moja au watu wa jamii yake
ambao hawana hali ya ualbino. Ngozi hii inaonekana zaidi kuwa
nyeupe katika familia za watu weusi, ingawaje, ualbino
hutokea kwa watu wa kila taifa, rangi, kabila na dini. Albino
wako katika mabara yote ulimwenguni.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Nini maana ya Ualbino?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Jiunge na Kampeni ya usafi Binafsi Lengo la kampeni Hii ni kuhamasisha watu kudumisha usafi wao binafsi kwa afya zao na kwa maendeleo yao.

👉JUA ZAIDI...

misaadas.gif

.