Tafuta

.

Toa tangazo la kituo cha kutoa msaada bure Kituo chako kitatangazwa hapa bure.

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Nina rafiki wa kike ambae ni Albino wa ngozi na tunapendana sana, lakini kwa nini anakataa kujamiiana na mimi?👇✔

Rafiki yako wa kike ana haki ya kukataa kujamiiana na wewe.
Labda hayuko tayari kujamiiana au anapenda kusubiri mpaka
afunge ndoa. Maamuzi yake yatakuwa yametokana na kuogopa
matokeo ya kujamiiana katika umri mdogo au labda anafuata
maadili yaliyo kwenye dini yake. Na hata kuwa na wasiwasi kuwa
uhusiano wenu siyo wa kuaminika. Kama kweli unampenda na
unajali uhusiano weu mpe muda wa kufikiria, taratibu. Endelea
kusikilizana kwa makini na kuchunguza kwa uwazi na muweze
kufanya maamuzi sahihi. Kwa lolote lile mtakaloamua hakikisha
kuzuia matokeo yanayotokana na mimba.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Nina rafiki wa kike ambae ni Albino wa ngozi na tunapendana sana, lakini kwa nini anakataa kujamiiana na mimi?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔

👉JUA ZAIDI...

Slide2-utotoni.GIF

.