.

πŸ‘‰ Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?πŸ‘‡βœ”

IMG_20180108_172400.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 01 Feb 2016 13:24. [Legal & Authority]


Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?

Kama umeamua kutovuta sigara wala kunywa pombe ni uamuzi
mzuri sana na wa kiafya. Ni haki yako binafsi kuchukua uamuzi
huu, kama vile watu wengine pia wanavyoruhusiwa kufanya
maamuzi kuhusu maisha yao wenyewe.

Mara nyingine ni vigumu sana, lakini kama umeamua hutaki
kujiunga na kundi la watu wavutao sigara au kunywa pombe ni
muhimu kusema hivyo. Jaribu kuwa wazi na kusema HAPANA.
Jaribu kueleza kwamba unataka kuishi maisha yenye afya bila
kutumia pombe na sigara na uwaeleze rafiki zako ni kwa nini.
Waambie kuwa unajua unachokifanya na kwamba umeridhika
kuwa uvutaji sigara na unywaji pombe unahatarisha afya yako,
unagharimu fedha nyingi na kukuzuia kufikia malengo yako.
Kama umeridhika na kuwathibitishia watu hao, hawatakusumbua
tena. Na kama unatafuta rafiki usisahau: Rafiki ni mtu anayejali,
kulinda na kuthamini maisha ya mwenzake! Kwa hivyo, ni kwa
vipi mtu ambaye anayekushawishi ufanye kitu cha kudhuru
afya yako kwa kusudi na haheshimu maamuzi yako awe rafiki
wa kweli?

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180109_191123.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Endelea kuperuzi Blog inayopendwa na wengi. Kila siku unaalikwa kutembelea Blog hii kwani kila siku kuna makala mpya inayoandikwa kwa ajili yako."

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS