Tafuta

.

Namna ya Kukutana na Rafiki mliopotezana Unaweza kukuta na yeye anakutafuta .

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?👇✔

Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni ya kupima damu yako katika vituo vyenye utaalamu wa upimaji.
Ni muhimu kukumbuka kuwa Virusi vya UKIMWI, vinaonekana kwenye damu ya binadamu miezi mitatu baada ya kuambukizwa. Kipindi hiki kati ya kuambukizwa hadi kufikia miezi mitatu kipimo hiki i hakiwezi kuonyesha kama maambukizi ya virusi yapo au hayapo. Kipindi hiki ni cha hatari sana , kwani aliyeambukizwa anaweza kuwaambukiza wengine bila kujua.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

nn.gif

.