.

Kichekesho%20Kipya Jiunge na Kampeni ya Amani na Upendo Yenye Lengo la kudumisha Amani na Upendo
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?πŸ‘‡βœ”

IMG_20180108_172858.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 13 Feb 2016 13:34. [Legal & Authority]


Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?

Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakuna
mtu yeyote mwenye haki ya kukuamulia. Lakini unapoamua
kujamiiana hakikisha kwamba ni maamuzi uliojulishwa na kwamba
unaelewa matokeo ya kujamiiana. Usisahau kuchukua hadhari
muhimu. kumbuka kutumia kondomu kujikinga wewe na mwenzi
wako kutokana na mimba usizotarajia na magonjwa kama vile
Virusi vya UKIMWI. Madhari mwili wako unaendelea kukua,
kujamiiana bila ya kondomu ni hatari zaidi kuliko mtu mzima,
kwa sababu maambukizo mengine haswa kwa vijana yanaweza
kukuletea matatizo kama vile ugumba baadaye katika maisha.
Pia jiulize mwenyewe kwa uangalifu kama kweli unataka
kujamiiana. Ni muhimu pia kujadiliana na mwenzi wako na kuwa
na hakika kama wote wawili mnataka kujamiiana. Usijamiiane
kwa sababu tu unafikiria kwamba watu wengine wanajamiiana
au unajitosa kwa kuwa unashawishiwa na marafiki au watu
wazima.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Bagia dengu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Ni katika umri gani vijana wana haki ya kujihusisha na mambo ya kujamiiana?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20170703_130405.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima."

karibu-sn.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS