Tafuta

.

Jinsi ya Kutana na Ndugu mliopotezana Anaweza akawa na yeye anakutafuta .

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Ni hatua gani zinazochukuliwa na serikali ili kukomesha vitendo vya kuwinda Albino?πŸ‘‡βœ”

Kufuatia vitendo vibaya vya mauaji ya Albino, vilivyozuka
Tanzania tangu mwaka 2007 hadi sasa, Serikali imechukua
hatua kadhaa kurekebisha hali hiyo. Hatua hizo ni pamoja
na:
β€’ Kuliagiza jeshi la polisi kuwatafyta na kuwakamata wauaji
wa aalbino.
β€’ Kumteua Albino kuwa Mbunge wa Viti Maalumu Wanawake.
β€’ Kutangaza hadharani kuwa mauaji haya siyo utamaduni
β€’ bali ni uhalifu mbaya ambao lazima uchukuliwe hatua za
kisheria.
β€’ Kutaka mikoa yote watangaze majina ya watu wote wanahusika
na mauaji haya.
β€’ Kuliagiza jeshi la polisi kuwatafuta na kuwakamata
wauaji wa Albino.
β€’ Kuanzishwa kamati maalumu ya mahakimu ili kuharakisha
hukumu za wauaji.
β€’ Viongozi wa juu wote wanalaani vitendo hivi katika mikutano
ya hadhara na matukio maalumu kama wakati wa mbio
za Mwenge wa Uhuru mwaka 2009.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ni hatua gani zinazochukuliwa na serikali ili kukomesha vitendo vya kuwinda Albino?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jiunge na Kampeni ya kutetea watoto Lengo ni kuhamasisha watu wote kuwakuza watoto kwa maendeleo bora ya kimwili, kiroho na kijamii

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

karibu-sn.gif

.