Tafuta

.

👉 Ni dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea pale mwingizaji anapokamatwa?👇✔

Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bangi, hiroini, kokaini na mirungi yamepigwa marufuku. Hii ni pamoja na dawa ambazo zimethibitishwa na daktari kuwa zisitumike kwa matibabu. Kwa Tanzania “gongo”pia ni haramu.
Polisi akimkamata mtu anayekwenda kinyume na sheria, humpeleka mtu huyo mbele ya vyombo vya sheria na atahukumiwa ikithibitika kuwa ana hatia. Sheria i inatoa adhabu kali kwa makosa yanayohusiana na dawa za kulevya. Faini ya shilingi milioni 10 za Kitanzania au kifungo cha maisha au vyote kwa pamoja.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ni dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea pale mwingizaji anapokamatwa?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

tafuta-ndugu.gif

.