Ni asilimia ipi ya Watanzani ambao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Ni asilimia ipi ya Watanzani ambao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Ni asilimia ipi ya Watanzani ambao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Nchini Tanzania ni 7% ya watu wenye umri kati ya miaka 15-49 wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Hii i ii inamaanisha kuwa kati ya watu 100 wa umri huu 7 wao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI.
Kila mkoa una watu walioambukizwa kwa kiwango tofauti, mikoa mingine i ikiwa na kiwango cha juu . Jedwali lilioambatanishwa hapa linaonyesha Mkoa wa Mbeya, Iringa na Dar es Salaam kuathirika zaidi na i idadi kubwa ya watu waliopima na kuonekana kuwa na virusi vya UKIMWI.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Ni asilimia ipi ya Watanzani ambao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;