.

Kichekesho%20Kipya Ndugu zako wanakutafuta hapa Wapo kwenye mtandao na wao
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ ndoa ya kulazimishwaπŸ‘‡βœ”

IMG_20180125_210100.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 14 Feb 2016 04:37. [Legal & Authority]


ndoa ya kulazimishwa

Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamke
anaozwa bila yeye mwenyewe kukubali kufunga ndoa kwa
hiari yake. Katika mazingira hayo wasichana au wavulana
wanalazimishwa kufunga ndoa. Wakati mwingine wazazi wanafikiri
wanajua nini kizuri kwa watoto waona hivyo kuwachagulia mume
au mke. Mara nyingi wazazi wanafikiria mambo ya uchumi na
kijamii katika kumchagulia
msichana au mvulana nani
amwoe.
Wanaweza kujaribu kumwoza
mtoto wao katika familia
ya kitajiri. Sababu nyingine
inayolazimisha mtu kuoa
ni mimba. Iwapo binti,
amepata mimba yeye na
mvulana aliyempa mimba
wanalazimishwa kufunga
ndoa kwa sababu baadhi ya
jamii hazikubali watoto wa
nje ya ndoa. Mara nyingine vijana wanalazimishwa kuoa kwa sababu
wamefikia umri ambao jamii inawategemea kuoa. Mara nyingi kuna
utii wa amri ya kuoa kwa vile mvulana au msichana anaogopa
kutengwa na kufukuzwa na mara nyingine anatishiwa, mateso
na unyanyasaji wa kimwili.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha boss na mwajiri wake.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (ndoa ya kulazimishwa).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, ndoa ya kulazimishwa? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180108_171846.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kujaribu kufanya jambo kubwa la kipekee ni kushinda hata kama halijafanikiwa."

Marafiki-wa-enzi.GIF

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS