Tafuta

Tafuta ndugu zako msiojuana hapa Unaweza ukawajua kwa kujieleza na kuwasoma

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 mwanamume au mvulana anaweza kubakwa👇✔

Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwa
kujamiina atakuwa
amebakwa, haijalishi kama
mtu huyu ni mwanamke/
msichana, mwanaume au
mvulana. Wavulana na wanaume
wanaweza kubakwa na
wanaume wenzao au wanaweza
kulazimishwa na mwanamke
kujihusisha na tendo la
kujamiiana. Wanaume wanaweza
kulazimisha wavulana
kujamiiana kwa njia ya mdomo
au njia ya haja kubwa. Kisheria hapa Tanzania tukio kama
hili linajulikana kama kulawiti.
Matatizo/matokeo ya kulawiti kwa wavulana ni sawa na yale
yanayopatikana kwa wasichana. Wavulana wanaweza kuumizwa
vibaya zaidi wakati wa kujamiiana na pia kuchanganyikiwa,
kiwewe, na kwa wavulana wanapata madhara zaidi.
Sheria hapa Tanzania12 haziko wazi juu ya ubakaji kwa wavulana
hata hivyo wanatambua mahusiano ya ushoga/ubasha kuwa ni
kosa la jinai.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (mwanamume au mvulana anaweza kubakwa).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

nn.gif

.