.

πŸ‘‰ Mtu anaweza kurithi uvutaji wa bangi?πŸ‘‡βœ”

Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wakiwaona wazazi au babu zao wakitumia bangi, wao hufikiri ni halali na wanaweza wakaanza kuvuta bangi pia.

karibu-sn.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

mwandishi.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif