Tafuta

πŸ‘‰ Mimi ni msichana Albino ninaogopa kuwa na rafiki mwanaume kwa kuhofia kuwa anataka tu kujamiiana na mimi na halafu aniache.πŸ‘‡βœ”

Wakati mwingine kuwa na muonekano tofauti na watu wengine
huvuta udadisi. Na hasa tukikumbuka kwamba uvumi uliopo
unasema kuwa Albino wako tofauti katika kujamiiana jambo
ambalo linaimarisha udadisi huu. Kwa maana hiyo basi, chukua
muda wa kutafakari. Kama vile tunavyofanya katika urafiki
mwingine ni lazima uchukue muda, ujaribu kujenga mazingira
ya kusikilizana na kuelewana. Mnaweza kufanya shughuli nyingi
pamoja na baada ya muda utaweza kugundua kama urafiki wenu
ni wa kweli kwa maana anakupenda wewe kama ulivyo na siyo
kwa kitu kingine. Baada ya hapo ndipo unaweza kuingia katika
uhusiano wa karibu bila kuogopa kuachwa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mimi ni msichana Albino ninaogopa kuwa na rafiki mwanaume kwa kuhofia kuwa anataka tu kujamiiana na mimi na halafu aniache.).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasa

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Slide2-utotoni.GIF

.