Mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa

By, Melkisedeck Shine.

ISIKUPITE๐Ÿ‘‰ Here a data collection expert

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa

Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa

Ulishaji

Mnyama aliyelishwa vizuri na kupata maji ya kutosha huzalisha maziwa mengi
yenye virutubisho vya kutosha. Iwapo ngโ€™ombe hatalishwa majani kidogo na
chakula chenye wanga mwingi, kiasi cha mafuta kwenye maziwa kinaweza
kushuka chini ya asilimia 2.5.
Hivyo, uwiano mzuri wa majani
na chakula cha ziada ni muhimu.
Unaweza kumlisha ngโ€™ombe
chakula cha ziada lakini
hakikisha kuna uwiano mzuri.
Usimlishe silaji ngโ€™ombe
wakati wa kukamua au muda
mfupi kabla ya kukamua kwa
vile yatachukua ladha ya silaji.
Inashauriwa kuwa ngโ€™ombe
apewe silaji saa mbili kabla ya
kukamuliwa.

Afya ya ngโ€™ombe

Ngโ€™ombe asiye na afya hali chakula vizuri na huzalisha maziwa kidogo na yasiyo na
ubora unaotakiwa. Wakati wote ngโ€™ombe anatakiwa kuwa msafi na mwenye afya kwa
sababu wanyama wagonjwa hueneza magonjwa kama vile kifua kikuu na ugonjwa
wa kutupa mimba pamoja na homa za vipindi kwa watumiaji wa maziwa. Ukihisi
kuwa ngโ€™ombe ni mgonjwa, wasiliana na mhudumu wa afya ya mifugo mara moja.
Usiuze wala usinywe maziwa yaliyokamuliwa kutoka kwa ngโ€™ombe aliyetibiwa kwa
dawa ya kiuavijasumu (antibiotics) hadi muda uliopendekezwa utakapokwisha


USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Kuna ndugu yako anayekutafuta hapa

Endelea kusoma makala hizi zifuatazo;

a.gif Website Kwa Wakatoliki | Blog huru ya wakatoliki

[[include :irongiant:clone]].. soma zaidi

a.gif Blog Huru ya Katoliki Ya Kikatoliki

.. soma zaidi

a.gif UBEBESHAJI WA MICHE YA MIKOROSHO

Ubebeshaji miche ya mikorosho ni moja ya mbinu muhimu katika uendelezaji wa zao la korosho kwa sababu ni teknolojia pekee inayohakikisha usahihi wa viwango vya uzalishaji wa aina ya mkorosho uliopandwa.
Kwa kutumia mbegu, huwezi kuwa na uhakika na uzalishaji wa aina ya mbegu ulioitumia kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa mbegu kubadilika tabia na kuwa tofauti na tabia ya mti mama.
Teknolojia ya ubebeshaji inamwezesha mkulima kutabiri mavuno na ubora wa korosho shambani mwake kama ukubwa wa korosho, sura yake, rangi, uzito na sifa zingine kulingana na mti mama… soma zaidi

[Msemo wa Leo] ๐Ÿ‘‰Chema na kizuri

[Jarida la Bure] ๐Ÿ‘‰Jarida la kilimo bora cha matikiti

[Hadithi Nzuri] ๐Ÿ‘‰Kisa cha baba mzee na mwanae

a.gif MSICHANA NA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI

Afya ya mwili wa binadamu hutegemea kiwango cha kinga mwilini. Kinga ya mwili husaidia mwili kupambana na vimelea hatari vinavyo sababisha magonjwa. Mwili wa binadamu unaweza kupungukiwa na kinga yake kutokana na sababu mbalimbali.
Kutokana na ujio wa virusi vya UKIMWI mwanzoni mwa miaka ya 1980, sababu ya vyanzo vya upungufu wa kinga mwilini vinaweza kugawanyika katika makundi makuu mawili yaani upungufu wa kinga mwilini kutokana na maambukizo ya virisi vya UKIMWI na upungufu wa kinga mwilini bila maambukizi ya virusi vya UKIMWI… soma zaidi

a.gif Faida za kila kitu kwenye mti wa papai

Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu… soma zaidi

a.gif Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima

Jifunze namna ya kulima nimeipata pahala.. soma zaidi

a.gif Kwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia moja

Ni vigumu kutoa jibu kamili kwa nini hisia hii i ii inatokea kwa watu wengine, kwa sababu wataalamu bado wanalifanyia utafiti… soma zaidi

a.gif Mapishi ya Chapati za maji za vitunguu

Unga wa ngano (plain flour) 1/4
Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1
Yai (egg) 1
Chumvi (salt)
Mafuta (cooking oil).. soma zaidi

afya-mapishi-na-lishe.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
KADI-MLO-MWEMA-MZAZI.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.