.

Kichekesho%20Kipya Tafuta ndugu zako mliopotezana hapa uwapate Wanaweza wakawa wanakutafuta sanaπŸ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

πŸ‘‰ mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimbaπŸ‘‡βœ”

Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) na vilevile mama awe hajaanza kupata hedhi yake. Kama mama ameanza kupata hedhi yake au kama anampa mtoto chakula kingine, anaweza kupata mimba tena. Kwa hivyo, anashauriwa kutumia njia za kupanga uzazi i i ili kuzuia mimba za mfululizo.

Ndugu.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Mapishi ya wali wa hoho nyekundu

[NZURI HIIπŸ‘‰] Faida za kiafya za Kula Matunda

wadogo.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif