Tafuta

πŸ‘‰ Madhara ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiumeπŸ‘‡βœ”

(1) Maumivu ya misuli.
(2) Kupata shida ya upumuaji.
(3) Maumivu ya kichwa.
(4) Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5) Kupiga chafya ovyo ovyo.
(6) Kuvurugika kwa tumbo mara baada ya kula chakula.
(7) Mafua.
(8) Kupata shida kupata usingizi.
(9) Ngozi kuwa na joto lisilo la kawaida.
(10) Maumivu ya masikio.
(11) Kichefuchefu.
(12) Ulimi kuwa mwekundu kuliko kawaida.
(13) Kushindwa kumwaga mbegu hata ukifanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
(14) Kuona dunia imebadilika rangi.
(15) Kuwa na hali ya wasiwasi bila ya sababu yeyote.
(16) Maumivu kifuani.
(17) Kutokuona sawa sawa.
(18) Njaa ya kupita kiasi.
(19) Kuongezeka kwa ukubwa wa mboni ya jicho.
(20) Kutokwa jasho sana.
(21) Maumivu ya mgongo.
(22) Kutopendelea mwanga mkali.
(23) Uchovu wa bila sababu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Madhara ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta Marafiki mliopoteana zamani hapa Utawapata kwenye mtandao

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

ml.gif
Kijitabu cha Kilimo Bora cha Kabichi kinafundisha kulima kabichi .

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...