Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?

Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?

Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?

Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaungua
sana baada ya kupatwa na jua na ngozi huwasha na kuuma. Ngozi
ya Albino inajitahidi kujilinda na mionzi ya jua lakini ina pigimenti
nyeusi kidogo sana kwa hiyo inatengeneza mabaka meusi1. Kwa
hiyo, mabaka meusi huonyesha kuwa ngozi haijalindwa ipasavyo
dhidi ya jua. Kama Albino atajilinda na jua ngozi yake inakuwa na
mabaka kidogo sana au bila mabaka.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;