Tafuta

Unaweza kuonana na watu mliopotezana hapa Bado wapo na wanakutafuta sana

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Kwani Albino hawatakiwi kuishi duniani?πŸ‘‡βœ”

Albino ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine na ana haki
sawa za kuishi na kufaidi kuwepo kwake hapa duniani kama
ilivyo kwa binadamu wengine. Kuua Albino kwa sababu yoyote
ile ni jambo baya sana ambalo linakemewa na serikali, dini zote,
na kila mwanadamu mwenye akili timamu na maadili ya utu na
watetea haki za binadamu.
Kitendo hiki vilevile kinapingana na haki za binadamu kwa hiyo
wavunjaji wa haki hizi wanashtakiwa kisheria.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwani Albino hawatakiwi kuishi duniani?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Kutana na marafiki zako hapa Usijali wapo kwa ajili yako

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

tafuta-rafiki.gif

.