.

πŸ‘‰ Kwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia mojaπŸ‘‡βœ”

IMG_20180125_205713.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 15 Mar 2015 05:15. [Legal & Authority]


Kwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia moja

Hapa Tanzania mapenzi ya aina hii hayajahalalishwa. Mtu anayefanya hivyo ni dhahiri anavunja sheria. Hata hivyo, kuna watu duniani kote na hapa Tanzania ambao wanavutiwa kimapenzi na watu wa jinsi sawa kuliko watu wa jinsi tofauti.
Ni vigumu kutoa jibu kamili kwa nini hisia hii i ii inatokea kwa watu wengine, kwa sababu wataalamu bado wanalifanyia utafiti. Siku hizi, wataalamu wanafikiri kwamba kuvutiwa kimapenzi na jinsia ya aina moja kunasababishwa na mambo mengi, ambayo ni pamoja na maumbile au kwa kurithi. Vilevile jamii i ii inaweza kuchangia. Hata hivyo, wataalamu wanakazia kwamba suala hili bado halijafanyiwa utafiti wa kutosha na hivyo inawezekana kuna sababu nyingine.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia moja).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Kwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia moja? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180125_205658.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Unapokosa kitu ukipendacho kwa muda mfupi kinapungua thamani, ukikikosa kwa muda mrefu thamani yake yote hupotea."

karibu-sn.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS