Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?

Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo kujitetea au kulaumu wengine. Mara nyingi huanza kudanganya au kusaliti marafiki na ndugu pale wanapohitaji fedha kwa ajili ya kununulia dawa za kulevya.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
vichekesho-bomba-vya-siku.png
afya-mapishi-na-lishe.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

picha-kali.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
afya-mapishi-na-lishe.png