Ackyshine Kiswahili Β» Dondoo Za AckySHINE Β» Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?

Tafuta

πŸ‘‰ Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?πŸ‘‡βœ”

Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watumiaji
hushindwa kufyonza virutubisho vidogo kama vile
vitamini, madini kutoka kwenye chakula na kwenda kwenye mfumo wa damu. Hiki ndicho kinachowafanya wakonde. Isitoshe, hupunguza uwezo wa mwili kujikinga na maradhi na hivyo huuweka mwili katika hatari ya kuambukizwa na magonjwa likiwemo gonjwa hatari la UKIMWI.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta Mabesti wako wa zamani hapa Utawapata kwenye mtandao huu

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Uzuri wa kitu huvutia MACHO lakini ubora wa kitu huuteka MOYO daima. Uzuri haudumu."

ml.gif

Expert available for Hire

Kuna ndugu yako anayekutafuta hapa Umepotezana naye siku nyingi.
Soma%20Zaidi.gif