Tafuta

.

👉 Kwa nini watu wanakuwa wagomvi na wakali wanapokuwa wamelewa?👇✔

Madhara ya pombe husababisha watu walioolewa kugombana.
Kutokana na ushawishi wa pombe watu hupoteza tabia zao
za kawaida na kuona vigumu kuhimili mihemko na kushindwa
kufanya maamumzi katika hali hiyo. Matokeo yake, mlevi
huyachukulia tofauti mazingira na maneno. Watu waliolewa hukasirishwa haraka na vitu ambavyo wangevipuuza kama
wasingekuwa wamelewa. Mara nyingi huwapiga watu wakati
wangetatua hali hiyo kwa njia tofauti kama wasingelewa.
Kama jambo hili litatokea miongoni mwa rafiki zako au familia,
jaribu kuwa mbali na uepuke ulevi. Usijaribu kujadiliana na mtu
aliyelewa kwa sababu kwa vyovyote hatakuelewa.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini watu wanakuwa wagomvi na wakali wanapokuwa wamelewa?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Jiunge na Kampeni ya usafi Binafsi Lengo la kampeni Hii ni kuhamasisha watu kudumisha usafi wao binafsi kwa afya zao na kwa maendeleo yao.

👉JUA ZAIDI...

msaada.gif

.