.

πŸ‘‰ Kwa nini watu wanakunywa pombeπŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_130432.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 30 Jan 2016 14:16. [Legal & Authority]


Kwa nini watu wanakunywa pombe

Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchi
nyinginezo duniani.

Watu hupendelea kunywa pombe katika
sherehe za kidini, kijamii, nyumbani na vilabuni. Wanakunywa
pombe ili kujiburudisha, lakini pia kuongeza ujasiri, kuondoa
aibu au kusahau matatizo yao kwa kipindi fulani au kwa muda
mfupi.

Vijana wengi, hasa wavulana, hudhani kwamba kunywa
pombe ni ishara ya kujionyesha kuwa wamekuwa watu wazima.
Kimsingi, unywaji pombe kidogo hukubalika kijamii na hauna
madhara, lakini ulevi wa kupindukia ni hatari na huweza
kusababisha vifo na haukubaliki katika jamii zetu kwa sababu
hudhoofisha na kufanya watu kusahau majukumu yao, hupunguza
heshima na afya njema.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini watu wanakunywa pombe).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


tafuta-rafiki.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS