Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?

vichekesho-bomba-vya-siku.png

Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?

Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
picha-kali.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

picha-kali.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
afya-mapishi-na-lishe.png