.

πŸ‘‰ Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?πŸ‘‡βœ”

MELKISEDECK-SHINE-LEON.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 29 Apr 2015 06:38. [Legal & Authority]


Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?

Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wa damu ndani ya uume ni sababu pekee ya uume kusimama. Pia kujaa kwa kibofu cha mkojo huweza kusababisha uume kusimama wakati wa kuamka usingizini asubuhi.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


wadogo.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS