Tafuta

Unaweza kuonana na watu mliopotezana hapa Bado wapo na wanakutafuta sana

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Kwa nini siku hizi kuna tofauti ya wanaume katika jamii kuwa wazi/tayari kuwa na uhusiano na wanawake Albino?πŸ‘‡βœ”

Mapenzi ya kweli hayabagui dini, kabila wala rangi. Kwa
kawaida, mapenzi ni matokeo ya hisia za mvuto. Kwa maana
hiyo, inawezekana kweli wanaume hawa wamevutiwa na hawa
wanawake enye ualbino. Ni muhimu pia kuwa na uhakika kuwa
anayesema anakupenda, anasema ukweli na zaidi anathamini
penzi lako unalomwonyesha. Pia katika jamii kuna imani kuwa
karibu na Albino kunaongeza bahati ya kutajirika.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini siku hizi kuna tofauti ya wanaume katika jamii kuwa wazi/tayari kuwa na uhusiano na wanawake Albino?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

mtu.gif

.