.

๐Ÿ‘‰ Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?๐Ÿ‘‡โœ”

IMG_20170703_130432.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 01 Feb 2016 13:23. [Legal & Authority]


Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?

Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwango
ambavyo ubora wake umethibitishwa kihalali. Hii inamaanisha
kwamba wataalamu katika kiwanda, huzipima bidhaa hizo
mara kwa mara huangalia usafi wake, kiwango cha kilevi, na
mchanganyiko wa malighafi zinazotumika kutengenezea pombe
hiyo. Madhara ya pombe za kienyeji yanatokana na kutokuwepo
kwa utaratibu kama huo. Mara nyingi vitu kama vile mbolea za
chumvichumvi huongezwa ili kuichachusha haraka. Kwa bahati
mbaya, mara nyingi watu hupata madhara makubwa baada ya
kunywa pombe zilizotengenezwa kienyeji. Wengi hupata upofu
na hata wengine hufa.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI.

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?).๐Ÿ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome๐Ÿ’ฏโœ”

Nini maoni yako kuhusu, Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya Usipitwe na Kampeni hii Ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii kwa watu wa matabaka yote
๐Ÿ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

IMG_20180109_192020.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira."

wadogo.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS