Tafuta

Tazama ni marafiki wangapi wanaokutafuta Wengi wanaweza wakawa wanakutafuta lakini hujui

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Kwa nini pombe na sigara bado zinatangazwa wakati zina madhara?👇✔

Serikali inatakiwa iamue kuwepo kwa matangazo ya biashara
ya pombe na sigara au la? Serikali ina wakati mgumu katika
kuamua kati ya kulinda afya za watu na shinikizo litokalo
kwa wakulima pamoja na makampuni yanayotengeneza pombe
na sigara. Wenye viwanda na wauzaji wanataka bidhaa hizi
zitangazwe kibiashara kwa sababu wanapata pato kutokana na
kuzalishwa na kuuzwa kwa bidhaa hizi. Serikali yenyewe pia
inapata faida kutokana na kutangazwa kwa tumbaku na pombe
kwa sababu uuzaji wake unaipatia serikali ushuru kupitia kodi.
Nchini Tanzania serikali imeamua kuwa matangazo ya biashara
ya sigara yawe na onyo lisemalo,“Uvutaji wa sigara ni hatari kwa
afya yako”. Hii inawajulisha wavutaji wa sigara kuhusu hatari
za uvutaji wa sigara na kuacha kila mtu ajiamulie mwenyewe.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini pombe na sigara bado zinatangazwa wakati zina madhara?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Kutana na marafiki zako wa enzi hizo hapa Wewe ni miongoni mwa rafiki yao wa kipekee sana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

wadogo.gif

.