.

πŸ‘‰ Kwa nini mwanaume akiona mapaja ya mwanamke uume wake husimama?πŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_130405.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 13 Feb 2017 15:39. [Legal & Authority]


Kwa nini mwanaume akiona mapaja ya mwanamke uume wake husimama?

Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu ya mvuto wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke, ambao ni wa asili, mwanaume anapoona kilicho na uhusiano wa karibu na viungo vya uzazi au viungo vyenyewe hupata msisimko.

Mara nyingine hata i inatosha mwanaume kufikiria kuhusu mwanamke au viungo vyake vya uzazi, uume wake ukasimama. Kusimama uume ni kielelezo kimojawapo cha msisimko wa mwili na mchango mkubwa katika msisimko huo ni mawazo.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini mwanaume akiona mapaja ya mwanamke uume wake husimama?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


ndugu.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS