.

๐Ÿ‘‰ Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?๐Ÿ‘‡โœ”

IMG_20180109_192558.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 01 Feb 2016 13:22. [Legal & Authority]


Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?

Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.
Tumbaku imekubalika na jamii kwa muda mrefu, na ni katika
miaka kama hamsini iliyopita ndipo madhara yatakanayo na
nikotini iliyomo kwenye tumbaku yalipoanza kukubalika. Hata
hivyo, hadi sasa tumbaku ni halali, lakini ni bangi kwa upande
mwingine si halali kisheria Tanzania.
Kwa hivyo, kutokana na kwamba nikotini kwenye sigara
ina madhara, basi serikali ilichukua hatua ya kuanza
kuwatahadhadharisha wavutaji na kuwazuia vijana kuvuta sigara.
Kuna sheria mpya Tanzania ambayo inawalazimisha
watengenezaji wa bidhaa za tumbaku kuandika tahadhari
ya afya kwenye bidhaa wanazotengeneza na kuuza. Kuanzia
mwaka 2000 bidhaa za tumbaku zote zililazimika kuwa na onyo
kwamba โ€œUvutuaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.โ€

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?).๐Ÿ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome๐Ÿ’ฏโœ”

Nini maoni yako kuhusu, Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

images-10.jpeg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Endelea kuperuzi Blog inayopendwa na wengi. Kila siku unaalikwa kutembelea Blog hii kwani kila siku kuna makala mpya inayoandikwa kwa ajili yako."

misaadas.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS