Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Ulemavu maana yake ni hitilafu katika mwili au akili inayomwekea
mipaka mtu asiweze kufanikisha shughuli fulani katika maisha
yake. Albino wanatambuliwa kama watu wenye ulemavu Tanzania
hasa kwa ajili ya uwezo wao wa kutokuweza kuona vizuri. Dalili
za kutokuwa na uwezo wa kuona hutofautiana kuanzia wale
ambao hawaoni karibu, wasioweza kuona mbali na wale ambao
wanashindwa kuona vizuri au kuona mawingumawingu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;