Kwa nini Albino wanatengwa katika masuala ya mapenzi na wale watu ambao siyo Albino?

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Kwa nini Albino wanatengwa katika masuala ya mapenzi na wale watu ambao siyo Albino?

Watu huogopa kujaribu vitu au mambo ambayo hawajayazoea
au yale ambayo yapo tofauti. Jinsi unavyozidi kujua ukweli
kuhusu sababu za ualbino ndipo unavyoweza kujenga mtazamo
chanya ikiwemo kuwapenda.
Wapo pia watu wengi katika jamii yetu ambao wana mahusiano
ya kimapenzi na Albino na ambao wapo katika ndoa. Watu
wengine katika jamii wanapoona mifano hiyo inasaidia katika
kuondoa wasiwasi na kuondoa imani potofu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Kwa nini Albino wanatengwa katika masuala ya mapenzi na wale watu ambao siyo Albino?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
afya-mapishi-na-lishe.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

afya-mapishi-na-lishe.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png