Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Usiruhusu tabia hii itawale akili yako, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?

By, Melkisedeck Shine.

Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.
Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sawa na ukeketaji basi
ingebidi uume wote ukatwe kabisa. Katika kumtahiri mwanamume
ni ile ngozi ya govi ya uume ndiyo inaondolewa. Wakati kutahiriwa
kwa wanaume siyo lazima na pia kuna watu wengine wanapinga,
hauna madhara ya kiafya kwa mvulana kama umefanyika
kwa kutumia vyombo na katika mazingira safi. Kwa mvulana
hakuna matatizo kama ametahiriwa au hakutahiriwa! Baadhi
ya wavulana wametahiriwa wakiwa wadogo sana na wengine
wametahiriwa wakati walipokuwa vijana. Hivyo kutahiriwa kila
mara kunaambatana na kumfundisha mvulana kuhusu mila na
jinsi ya kujiheshimu kama mwanamume. Mafunzo haya ndiyo
kitu ambacho hakitofautiani kwa mwanamume na mwanamke
wanaotahiriwa. Vinginevyo kutahiriwa kwa wasichana ni hatari
na huwezi kufananisha na ile ya wavulana.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Kutahiriwa kwa wanaume ni sawa na ukeketaji?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

SALAMU-JIONI98HBS.JPG
KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG