Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda / michubuko mdomoni, uwezekano wa kuambukizana huongezeka.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;